Thursday, 7 November 2013

thambi

vile thambi nowadays ziko
kuna madame wengine beautiful na wengine handsome
wale beautiful wanasaka mabwana
wale handsome ni mabwana za mabwana
tunahitaji kuwaombea kwa bwana wa mabwana

watu wanapenda kumangana, stifler
wengine wanapenda kumadana, hitler
kunao wakumess vijana na drugs, dealers
alafu wanaturingia huku na machrysler

divorce imespread ka virusi
loss kubwa ukihesabu budget ya harusi
kwa ndoa kila siku matusi, matusi
hakuna ndoa siku hizi, ni signature kwa karatasi

campo  malecs na mastude wanahookup,
ndo results ziweze kushoot up
suddenly, hadi kuna ruhusa ya kulook up
kwa dictionary
kupata A lazima mtu kulosen up
na kuimaintain ni story na ku shut up
permanently

sugar mummies sugar daddies ndo source ya funds za rave
ndo wanachangia vijana kupotea na kumisbehave
alafu kwa church unawapata first line, holy holy dave
na sadaka wanakalia ndo waweze kusave za kumisbehave

siku hizi thambi ni kama kambi
watu kuibambikia bila rambirambi
kitu imekosa maana ni maombi
watu wamedai zii kumwinamia sir Goddy

change inahitajika, ka si saa hii, ni sasa hivi
©  2013

No comments:

Post a Comment

comment

Highlights

When you smile,  I pray that it's because of me When you cry,  I pray that only I can wipe the tears away When you are happy I pray th...