Monday, 18 November 2013

Injustice

Nilikuwa natoka works,walikuwa wanatoka spur kuwax
Tukameet town ndo tujue vile usiku  ita go down
Hatukuwa tumedishi so tukaingia place imejaa wapishi
Tukaagiza food yenye tumezoea kwa hood
Tukakula tukashiba hadi Tumbo zikayumbayumba

Baadaye tukafika mtaa ingine maidhaa
Huku karao wakatubamba Na kutoka ni mathao
So ikakuwa hivyo tukaambiwa tunazurura ovyoovyo
Kufika stesheni wanadai ilikuwa oparesheni
So tukawekwa ndani bila viatu Kama nyani

Keja zilikuwa chafu lakini heri Hizo kuliko bafu
Alafu hakuna place ya kunyora ikabidi mamaps kwa floor tumechora
Mabeast kucheki kuna fresher wakawika kuna feast
Mimi Huyo at the ready n ikakuwa fist...........................
©2013


2 comments:

comment

Highlights

When you smile,  I pray that it's because of me When you cry,  I pray that only I can wipe the tears away When you are happy I pray th...