Saturday, 19 October 2013

unclean

madam, si ati mi nablush
ni venye tu asubuhi meno sikubrush
so unaweza guess mdono inanuka ka trash
home hakuna toothpaste na siwezi tumia ash
niko unclean, utanichukua vile niko au zii?

madam si ati staki kukuhug
vile nimesweat niko sticky ka slug
so unaweza guess i aiint worth a hug
home hakuna maji, iko tu kwa one jug
niko unclean, utanichukua vile niko au zii?

madam, si ati staki kutoa viatu
ni vile saa hii tuko mbele ya watu
so nikubalie nikae nazo tu
home hakuna soap, singewea kuosha viatu
niko unclean, utanichukua vile niko au zii?

mrembo, si ati staki kunyoa nywele
ni vile nina dandruff kibao ka mchele
so heri kujidai nataka kulea nywele
home hakuna shampoo, singeweza kuiosha mbele
niko unclean, utanichukua vile niko au zii?

madimoisselle si ati staki kukuskiza
ni vile nimejaza wax kwa masikio
hapo unaeza guess kuskia ni tishio
home hakuna earbuds, na siwezi tumia toothpick
niko unclean, utanichukua vile niko au zii
©  2013

No comments:

Post a Comment

comment

Highlights

When you smile,  I pray that it's because of me When you cry,  I pray that only I can wipe the tears away When you are happy I pray th...