Moyo Wake

Moyo wake
Sikuiba nilipewa
Story ya wizi ni kuekelewa
Wanateta juu walinyimwa
Nikapewa mimi si unaelewa?

Nilipata chance nikaitumia
Nika score high asilimia mia
Wakafeel jealous wakaniingilia
But akabaki nami juu alinikufia

Na si  time ikafly kizee why lie
Tukaanza kupanga maisha ya baadaye
Alijua nataka kupata watoto naye
So tukamarry, na first born humuita mamaye

Kama kawaida migogoro haikosi
Kukasirishana na kutiana wasiwasi
Lakini mapenzi hutia umoja kasi
Moyo wake ni wangu pasi na wasiwasi asii!!!

Wana tulivyopanga tushaanza kupata
Ndoto zetu kufikia faster faster
Gari tumenunua, Chrysler ata
Hamna kutembea kazini patapata!
©2013

Comments

Popular Posts